Posts

MIFUMO PESA NA MAENDELEO YAKE

Image
UTANGULIZI Pesa ni mfumo utumikao kuwasilisha uhalali wa thamani ya kitu fulani au bidhaa ndani ya miliki , himaya au sehemu fulani. HISTORIA YA PESA NA MIFUMO YAKE Hadi sasa pesa imeweza kupitia mifumo mikuu mitano katika matumizi yake ya kufanya biashara ama kununulia bidhaa na mifumo hiyo ni kama ifuatavyo:-         1      Mfumo wa kubadilishana bidhaa kwa kitu(barter trade) 2 Mfumo wa zana za chuma(iron trade) 3 Mfumo wa karatasi(paper money) 4 Mfumo wa plastiki( credit card) 5 Mfumo wa kidigitali(cryptocurrency)    1: MFUMO WA KUBADILISHANA BIDHAA KWA kITU Biashara ya mabadilishano Huu ni mfumo uliokuwa mahususi  hapo zamani katika kipindi cha zama za mawe za kwanza ambapo binadamu walitumia njia ya mabadilishano ya kitu kwa chakula kama nafaka , wanyama ilikuweza basi kukidhi mahitaji yao. Hivyo njia ya mabadilishano ilitumika kama mfumo wa pesa.    2: MFUMO WA ZANA ZA CHUMA Zama za chuma Huu ni mfumo ambao binadamu walikuwa wakiutu